FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

IMG-20250112-WA0026.jpg
 
Bravo hata washinde goli 100 na Simba akafungwa 235 hawawezi kupita kwa sababu kigezo cha kwanza mkilingana points ni matokeo ya head to head
Ipo hivi
1. Tofauti ya points
2. Mkilingana point inaangaliwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa (GD)
3. Mkilingana points na GD inayofuata ni Head to Head. Hapo sasa Simba anapenya.
 
Nilikimbia mtani
Yani ni mpumbavu mnooo
Leo sijui angetubebea mbeleko gani aisee..
Mara ya 3 anafanya huwa utopolo..
Vipi hadithi yetu au mpk mchukue pwenti 3 ndo utaendelea hahahah
Nimeendelea mtani, Leo mpaka nimalize maana wiki kesho Nina routine sidhani hata kama ntashika simu
 
Head to Head inatangulia kabla ya GD....ndio maana Simba imefuzu....kwenye head to head sisi tuna point 4 bravos 1...kwahiyo kiufupi tumeshafuzu hata tukipoteza mechi ya mwisho
Ipo hivi
1. Tofauti ya points
2. Mkilingana point inaangaliwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa (GD)
3. Mkilingana points na GD inayofuata ni Head to Head. Hapo sasa Simba anapenya.
 
Back
Top Bottom