FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

Ipo hivi
1. Tofauti ya points
2. Mkilingana point inaangaliwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa (GD)
3. Mkilingana points na GD inayofuata ni Head to Head. Hapo sasa Simba anapenya.
Hujui chochote masta, kanuni za CAF hizi hapa jisomee mwenyewe
 

Attachments

  • Screenshot_20250112-225827.png
    Screenshot_20250112-225827.png
    341.7 KB · Views: 1
Haka ndio maana mzaramo alikapiga makofi

Sasa milioni 1 hiyo sijui hata pakutolea kataitolea wapi
 
Hvi mliokazana Simba amefuzu Bravos du makwizi akishinda magoli mengi itakuwaje?? Kwani Simba hana game nyingine hata angekua hajafuzu jana? Still huyo du makwizi wenu asingempata...labda kama mlikua mmepanga matokeo yenu.....
Mnyama tena Benjamin mkapa aweeeee...

Haya tufanye Simba haijafuzu ina point 10...
Bravos ina point 7...
Mechi ya mwisho mnyama akampumulia pumzi ya moto mwarabu wa jangwani akapata point 3...mnyama anakua na point 13...
Huyo bravoz obvious atashinda kwa yule mgawa point...atakua na point 10...

Au mnaongea as if mnyama hana mchezo mwingine au huo mwingine mmeshajipangia atafungwa ama?
Haya lets say mnyama akatoa droo...bado atakua na point 11 yule bravoz 10..

NB..
Mnyama ameshapita akiwa na mechi moja mkononi huo ndo ukweli mchungu..
 
Back
Top Bottom