Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
πππππππ wanajikutaga sana na timu yao ni baiskeli ya mabua. Leo tunao mpaka wateme bungo.Kabisa my dear hawa tunawasagia kunguni tu. π€£π€£π€£
Hatari sana Mkuu.Tena zile za kisasa
Wenge hiloKinachofanya beki ya Simba iwe inazubaa ni nini. Maana uwanja hauna hata mashabiki
Buravoo tulieni muwaadabishe hao ubayaBravo wana papara wakifika golini...
Kabeeesaaaa.πππππππ wanajikutaga sana na timu yao ni baiskeli ya mabua. Leo tunao mpaka wateme bungo.
Hapo mbele kuna utani mwingi sana unaosababishwa ubinafsi, lakini pia hapo nyuma kuna ujinga wa kupanda bila kurudi, counter attack yoyote inakuwa na madhara kwa zaidi ya 70%.Nafasi mnapata ila kuzitumia sasa?..
Ngoja tuone Mtani.Bado mpira mbichi huu mtani....... ushindi upo
Dstv ni chanel ipi inaonyesha?MAKOLOOOOOOO