Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Mikono imekuwa mizitoWalianza kwa kasi kwenye kuandika kadri dakika zinavyosonga ile kasi inapungua.
Mechi haijaisha hii
Walete zile maneno zao za bado point moja sasa. π πMikono imekuwa mizito
Kwa jinsi ilivyopigwa ile, kama Camara angekuwa mfupi kama Diarra ile ingekuwa ndani.Wamekoswaaaaaa tenaaa bhn π€£
Kuna kolo naangalia naye mpira amesweti utadhani amemwagiwa majiKipindi cha kwanza kimeisha
Wawe makini Simba wasije wakajiweka pagumu....Mechi haijaisha hii
Vita ni vita muraaaWalete zile maneno zao za bado point moja sasa. π π
Kuwa makini wengi huwa wana pressureKuna kolo naangalia naye mpira amesweti utadhani amemwagiwa maji
We jitowe tu. π πWawe makini Simba wasije wakajiweka pagumu....
Unataka mkeka wa Malone uchanike? Sidhani kama anaweza kufanya ujinga huoMuda upo, at least point 1 itapatikana.