Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Refa yuko uwanjani vs wewe upo kwenye keyboardHuyu refa vipi penalty ya wazi kabisa
Hahahahaa. Acha tu Mkuu wangu.Mmmh tutaficha sura zetu wapi sie
Walau sareKwa hiyo inawezekana kushinda ?
77Dakika ya ngapi?
Una Haki ya kujimalizaπ€£π€©Ila madunduka aisee. Now mna nguvu eti ya kutusema sisi. Ngoja wawachomekeeni la pili, mtakimbiana hapa. Madunduka mliokuwa mmejificha karibuni muonje furaha.
Katika hao waliojificha bila kumsahau mwasibu. π πIla madunduka aisee. Now mna nguvu eti ya kutusema sisi. Ngoja wawachomekeeni la pili, mtakimbiana hapa. Madunduka mliokuwa mmejificha karibuni muonje furaha.
Wamechoka baada ya kupata la kusawazisha!?wamechoka kinyama
Haina mvuto kwasababu wakina mama wenye kuleta mvuto msimu huu hawajashirikihii shirikisho haina mvuto mbona hakuna mashabiki kabisa
Ubao unapedeza.As it standsView attachment 3200001
Polee mkuu nayahis maumivu Yako.Ila madunduka aisee. Now mna nguvu eti ya kutusema sisi. Ngoja wawachomekeeni la pili, mtakimbiana hapa. Madunduka mliokuwa mmejificha karibuni muonje furaha.
Duh!...hizo 12 tungezipata ingekuwa π₯ π₯ π₯As it standsView attachment 3200001