Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Inauma eeh chomoa nduguDaaaaah makosa kama haya yanatugharimu sana
Amka utajikojolea12‘ FC Bravos 0-0 Simba SC
Hata mimi nimeona.Hajaishika bhana! Nimeona kwenye marudio
Huyu mpuuzi wakumtimuaSehemu yeyote ambayo Simba inafanya uzembe lazima beki ihusike
Na bahati mbaya huyo beki amekuwa Che Malone kila siku
Kila.siku yeyeChemalone apigwe marufuku kucheza back pass, kama hawezi kuacha atuachie timu yetu.