Kuna watu wamedandia mtumbwi wa vibwengo[emoji84][emoji84][emoji83][emoji83][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
uchambuzi utafata baadae
Stay tuned,...................
==========
Kikosi cha Simba
Kikosi ch Raja Casablanca
Mchezo umeanza
2β Mashabiki wa Raja wameanza kuonesha presha kwa kushangilia kwa nguvu
4β Wenyeji wakigusa mpira wanakuwa nakasi kubwa
6β Raja wanapata kona ya kwanza, inapigwa inaokolewa
10β Timu zote hazina utulivu, wenyeji wakionekana kutsks goli la mapema
16β Raja almanusura wapate goli, mpira unagonga nguzo na kutoka nje
17β Shambulizi lingine kali langoni kwa Simba, mpira unatoka nje
22β Simba wanacheza pasi kuanzia nyuma, shuti la Saido linapaa
24β Mzamiru anapiga shuti linatoka nje la lango
27β Timu zinapeana zamu kumiliki mpira
29β Shuti la Gadiel linaoaa juu ya lango la Raja
33' Baleke anaweka mpira wavuni lakini mwamuzi anasema alicheza faulo
36' Chama wa Simba anapata kadi ya njano
43' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Khabba anafunga goli baada ya Onyango kuchanganyana na Manula wakati wa kuokoa
45' Walinzi wa Simba wamecheza vizuri lakini wameanza kufanya makosa kadhaa
MAPUMZIKO
Kipindi cha pili kimeanza
46' Wenyeji wameanza kwa kasi ya chini
48β GOOOOOOOOOOOO
Baleke anafunga bao na kuisawazishia Simba
55' Simba wanapiga pasi kadhaa na kuonesha kujiaminia
57' Manula yuoo chini baada ya kuumia, anapatiwa matibabu
62' Kibu Denis anachezewa faulo karibu na eneo la 18 la Raja
69' Onyango anacheza faulo, inakuwa penati kwa Raja
Goooooooooo Hamza Khabba anafunga goli ka pili kwa penalti
71' Shangwe linaendelea kwa mashabiki wa Raja
goooooo
Mohamed Boulacsout anafunga goli la tatu kwa Raja
89' Kapombe kaumia, ametoka nafasi imechukuliwa na Israel
89' Saido katoka kaingia John Bocco
90' Zimeongezwa dakika 4
FULL TIME