Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
sana tenaTumefurahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sana tenaTumefurahi
MAKOLO HAYAJAFUNGWA BANA!TAREHE MOJA APRIL NI SIKU KUU YA WAJINGA!MSIWADANGANYE MAKOLO!!Kuna watu wamedandia mtumbwi wa vibwengo[emoji84][emoji84][emoji83][emoji83][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
uchambuzi utafata baadae
Stay tuned,...................
==========
Kikosi cha Simba
Kikosi ch Raja Casablanca
Mchezo umeanza
2’ Mashabiki wa Raja wameanza kuonesha presha kwa kushangilia kwa nguvu
4’ Wenyeji wakigusa mpira wanakuwa nakasi kubwa
6’ Raja wanapata kona ya kwanza, inapigwa inaokolewa
10’ Timu zote hazina utulivu, wenyeji wakionekana kutsks goli la mapema
16’ Raja almanusura wapate goli, mpira unagonga nguzo na kutoka nje
17’ Shambulizi lingine kali langoni kwa Simba, mpira unatoka nje
22’ Simba wanacheza pasi kuanzia nyuma, shuti la Saido linapaa
24’ Mzamiru anapiga shuti linatoka nje la lango
27’ Timu zinapeana zamu kumiliki mpira
29’ Shuti la Gadiel linaoaa juu ya lango la Raja
33' Baleke anaweka mpira wavuni lakini mwamuzi anasema alicheza faulo
36' Chama wa Simba anapata kadi ya njano
43' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Khabba anafunga goli baada ya Onyango kuchanganyana na Manula wakati wa kuokoa
45' Walinzi wa Simba wamecheza vizuri lakini wameanza kufanya makosa kadhaa
MAPUMZIKO
Kipindi cha pili kimeanza
46' Wenyeji wameanza kwa kasi ya chini
48’ GOOOOOOOOOOOO
Baleke anafunga bao na kuisawazishia Simba
55' Simba wanapiga pasi kadhaa na kuonesha kujiaminia
57' Manula yuoo chini baada ya kuumia, anapatiwa matibabu
62' Kibu Denis anachezewa faulo karibu na eneo la 18 la Raja
69' Onyango anacheza faulo, inakuwa penati kwa Raja
Goooooooooo Hamza Khabba anafunga goli ka pili kwa penalti
71' Shangwe linaendelea kwa mashabiki wa Raja
goooooo
Mohamed Boulacsout anafunga goli la tatu kwa Raja
89' Kapombe kaumia, ametoka nafasi imechukuliwa na Israel
89' Saido katoka kaingia John Bocco
90' Zimeongezwa dakika 4
FULL TIME
Home goli 0-3Ukilinganisha na zile goli 6 kwa kweli sio nyingi. Inategemea unalinganisha na nini.
Ukilinganisha goli 3 kwa 1 alopigwa Simba na Raja au 6 kwa 0 alopigwa Yanga na Raja au Yanga alopigwa na Simba utagundua nyingi ni zipi
Mushkel hawayavunja rekodi ya mechi moja ya Utopolo. UTOPOLO alipigwa 6 mtungi mechi moja ambayo mpaka sasa ni rekodi ya timu za Tanzania ya kufungwa goli nyingi kwenye mechi moja.Home goli 0-3
Away 3-1
Total 6-1
3 nje +3 ndani =6Mushkel hawayavunja rekodi ya mechi moja ya Utopolo. UTOPOLO alipigwa 6 mtungi mechi moja ambayo mpaka sasa ni rekodi ya timu za Tanzania ya kufungwa goli nyingi kwenye mechi moja.
Nyie mlipigwa 3 ndani na 6 nje jumla 9.3 nje +3 ndani =6
3+3=6Nyie mlipigwa 3 ndani na 6 nje jumla 9.
Gor Mahia nao wakawapiga 4 ndani na 4 nje.Jumla 8.Au 1998 ulikuwa hujazaliwa?
Samahani mkuu ivi ukiwa na dstv now unahitaji tena kuwa na mb( bundle) kwenye cm? Au ukiwa na hivyo vitu email na password tayari ushamaliza kaziDownload DStv Now nikupe email na password
Lazima uwe na bando mzeeSamahani mkuu ivi ukiwa na dstv now unahitaji tena kuwa na mb( bundle) kwenye cm? Au ukiwa na hivyo vitu email na password tayari ushamaliza kazi
Lazima uwe bundle mkuu ili uweze kuangaliaSamahani mkuu ivi ukiwa na dstv now unahitaji tena kuwa na mb( bundle) kwenye cm? Au ukiwa na hivyo vitu email na password tayari ushamaliza kazi