Mniite [emoji196][emoji196]Tukuite [emoji240] au
Sasa mbona unalialia km sio shida zenu jus relax[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi utopolooo kwani ni lazima mtesekeeeee??? Sisi tupo Robo tayariiiiii.
Haya mengine sio shida zetu.
Raja 11-1simbaKila la kheri watani, mkapate mnachostahili.
Itakuwa poa pia😂😂😂Raja 11-1simba
Sisi raja tunatafuta record ya kumtungua mtu goal 10,tunaweka full mzikigame ya kawaida Sana sidhani Kama raja ataweka full mkoko
Kipigo kizito sana tutakitoa leogame ya kawaida Sana sidhani Kama raja ataweka full mkoko
Sisi horoya tunasema kile kikombe mlichotunywesha Sasa kimewarudia. Na mpigwee kipigo cha mbwa koko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi sio shida zetuuuu.Sasa mbona unalialia km sio shida zenu jus relax[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saa saba ni kwa saa za Africa mashariki, kwao ni saa nne Usiku ..ngoma saa saba usiku warabu wanavisa sana .. leo wachezaji wanaweza sinzia uwanjani!
Umekalia [emoji1646]Raja Casablanca 9-0simba nimekaa paleeeee
Mwandiko una sadifuMkuu uyo mwarabu feki simjui, acha uchonganishi