k2206
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 702
- 705
NakaziaSimba nguvu moja mapema sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaSimba nguvu moja mapema sana
Tupo tyr kupigwa mkuuNa lazima tuwapige hatuwaachi ng'oo
Watakesha kwa kigezo cha kula dakuUtopolo mtakuwa mmelala, kama mkikesha kwa kisichowahusu mna viherehere..
Kama ile ya 6 , 0Taifa linaenda kupata aibu kubwa usiku wa manane
Ndiyo kusema mtaepuka kipigo kwa sababu hii?Nawakumbusha utopolowizadi, Raja hana cha kupoteza, Pia Simba hana la kupoteza pia. Raja hawatokuwa sirizi sana, Kocha anaweza kupumzisha wachezaji mhimu kwa ajili ya kuepuka majeruhi.
NB: Game ni kwa ajili ya kukamilsha ratiba tu.
Tusubiri mkuu, muda ni mwamuzi mhimu sana.Ndiyo kusema mtaepuka kipigo kwa sababu hii?
Raja msiniangusheKuna watu wamedandia mtumbwi wa vibwengo[emoji84][emoji84][emoji83][emoji83][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
uchambuzi utafata baadae
Stay tuned,...................
View attachment 2571830
View attachment 2571827
AahaaahaSisi horoya tunasema kile kikombe mlichotunywesha Sasa kimewarudia. Na mpigwee kipigo cha mbwa koko
Ndo kichaka chenu hicho,aahahhhaaaAta tukipigwa 100 tupo robo tyr huko tupo timu 8 tu bora za Africa