FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

Sasa nalala kwa raha mstarehe...
Achana na sijui usitukane mamba, kabla hujavuka mto...
Tutavuka bahari....
Raja 🙋‍♀️
Siye kesho tunamnywa mtu 3-1 Ili tuwaonyeshe watano zetu jinsi ya kutandaza soka safi siyo kama magoli ya Enonga ya kungfu
 
Siye kesho tunamnywa mtu 3-1 Ili tuwaonyeshe watano zetu jinsi ya kutandaza soka safi siyo kama magoli ya Enonga ya kungfu
Kwani mechi za Ligi ya Mabingwa zitaendelea kesho? Mimi ratiba hapa naona zinaisha leo Jumamosi
 
Wanauheshimu tu huo mwezi ila hakuna wafungaji kule, waspanish wale dini kwao ni utamaduni tu wala si ibada.
Walipoingia nusu fainali ya kombo la dunia yule Captain wao wa timu ya taifa asingetoa dedication kwa Waarabu wote na "WAISLAMU" wote kama dini sio kitu wanachokithamini, wakawasahau mpaka Waafrika wenzao.
 
Siye kesho tunamnywa mtu 3-1 Ili tuwaonyeshe watano zetu jinsi ya kutandaza soka safi siyo kama magoli ya Enonga ya kungfu
Mnacheza na nani, kwenye mashindano gani hilo soka safi [emoji23]
 
Tulifungwa sita 0 Kwa show moja
Nyie ghettoni kwenu moja na lodge ughaibuni moja
Jumla yake sita
Bora simba kafungwa nyumbani goli 3 na ugenini 3...jumla goli 6

Ila hebu tazama rekodi yenu ya mwaka 1998 ambapo mliburuza mkia katika kundi B

Kwenye mechi mbili Raja walimaliza vipaketi 3 vya condom
Screenshot_20230401-042618~2.png
 
Kuna watu wamedandia mtumbwi wa vibwengo[emoji84][emoji84][emoji83][emoji83][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
uchambuzi utafata baadae

Stay tuned,...................

==========

Kikosi cha Simba

Kikosi ch Raja Casablanca
Mchezo umeanza
2’ Mashabiki wa Raja wameanza kuonesha presha kwa kushangilia kwa nguvu
4’ Wenyeji wakigusa mpira wanakuwa nakasi kubwa
6’ Raja wanapata kona ya kwanza, inapigwa inaokolewa
10’ Timu zote hazina utulivu, wenyeji wakionekana kutsks goli la mapema
16’ Raja almanusura wapate goli, mpira unagonga nguzo na kutoka nje
17’ Shambulizi lingine kali langoni kwa Simba, mpira unatoka nje
22’ Simba wanacheza pasi kuanzia nyuma, shuti la Saido linapaa
24’ Mzamiru anapiga shuti linatoka nje la lango
27’ Timu zinapeana zamu kumiliki mpira
29’ Shuti la Gadiel linaoaa juu ya lango la Raja
33' Baleke anaweka mpira wavuni lakini mwamuzi anasema alicheza faulo
36' Chama wa Simba anapata kadi ya njano
43' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Khabba anafunga goli baada ya Onyango kuchanganyana na Manula wakati wa kuokoa
45' Walinzi wa Simba wamecheza vizuri lakini wameanza kufanya makosa kadhaa

MAPUMZIKO

Kipindi cha pili kimeanza
46' Wenyeji wameanza kwa kasi ya chini
48’ GOOOOOOOOOOOO
Baleke anafunga bao na kuisawazishia Simba
55' Simba wanapiga pasi kadhaa na kuonesha kujiaminia
57' Manula yuoo chini baada ya kuumia, anapatiwa matibabu
62' Kibu Denis anachezewa faulo karibu na eneo la 18 la Raja
69' Onyango anacheza faulo, inakuwa penati kwa Raja
Goooooooooo Hamza Khabba anafunga goli ka pili kwa penalti
71' Shangwe linaendelea kwa mashabiki wa Raja
goooooo
Mohamed Boulacsout anafunga goli la tatu kwa Raja
89' Kapombe kaumia, ametoka nafasi imechukuliwa na Israel
89' Saido katoka kaingia John Bocco
90' Zimeongezwa dakika 4

FULL TIME
TANZANIA IMEFURAHI KWA MATOKEO HAYA
 
Hivi kumbe palikuwepo na game?
🫣🫣🫣🫣utopolo mkakesha mkisubiri wiki eti 7-0[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Naona mwarabu alirudishwa mchezoni kwa penalti[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Huyo jamaa amegeuka kuwa muua moves nyingi kwa Simba Sc sikuhizi, kwanza hawezi kutoa pasi mpaka abanwe kabisa lakini pia yeye anawaza kufunga tu hata kama nafasi haimpi ruhusa.

Kinachomharibu zaidi ni ile hali ya kutaka aimbwe na mashabiki, badala yake nyimbo zimeendelea kumfuata Chama huku yeye akibaku kuamini kuwa ni bora zaidi, matokeo yake ni kupanick mchezoni kila siku.

Hakuna aliyemroga.
Huyu tulimsajiri kwa ajili ya mechi zetu na Prisons.
 
Bora simba kafungwa nyumbani goli 3 na ugenini 3...jumla goli 6

Ila hebu tazama rekodi yenu ya mwaka 1998 ambapo mliburuza mkia katika kundi B

Kwenye mechi mbili Raja walimaliza vipaketi 3 vya condom
View attachment 2572621
Hiyo ya ugenini ilikuwa hujuma,kumbe tulitoa drop nao hapa nyumbani duh,kwanini nyie mlipigww nje ndani!!?
 
Back
Top Bottom