Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Timu ya washamba sijui huyu goli keeper walimtoa wapi?Huyu Vipers anaweza akawa ndio kibonde wa kundi la Simba.
Anacheza na Raja Casablanca tayari kashalambwa 2-0 na game ndio kwanza mbichi...
Yuko unga sana! Wamevukaje kuja makundi?Timu ya washamba sijui huyu goli keeper walimtoa wapi?
Simba anatakiwa achukue point sita kwa VipersSawa mkuu
Kabisa mkuu.. 6 kwa vipers hao horoya na raja wakija hapa kwa mkapa wanaacha 6 tayari tukiwa na 12 zinatosha kupitaSimba anatakiwa achukue point sita kwa Vipers
Nacheki dstvAzam mbona hawaonyesh???
Wangekuwepo wangekufa nyingiHamna hata mashabiki.
Yah mkuuKabisa mkuu.. 6 kwa vipers hao horoya na raja wakija hapa kwa mkapa wanaacha 6 tayari tukiwa na 12 zinatosha kupita
Hamna timu hapa mkuuChuma cha tatu.
Azam mbona hawaonyesh???
Wanaonesha. Nenda UBC channeli 350Azam mbona hawaonyesh???