MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Robertinho ndio alisuka timu na anajua kucheza kwa mbinu! Ndio maana waliokuwa wanamtukana kocha wa Simba wanaojua walibaki kushangaa! He is master of the game!Huenda walibahatisha kumfunga Tp Mazembe.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app