FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

kwa jinsi Vipers wanacheza wakikutana na Yanga wanawafunga tena...
 
52' Vipers wananyimwa penati baada ya mchezaji wa raja kuonekana kama ameunawa mpira ndani ya box
 
kumbukizi mara ya mwisho Vipers walipokuja bongo kucheza na Yanga matokeo yalikua hivi👇

View attachment 2513092
512730A1-EFF7-4EFF-A2A4-41C6DB078D76.jpeg

Mkuu wewe ni mchochezi kweli jina linasadifu.
 
kutunyima Manzoki ona sasa laana ya Simba imewaangukia.
na ngoja waje kwa Mkapa kudadeki zao watajuta kuingia group stage.
 
Back
Top Bottom