FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

Haya sio mauaji bali ni maafa. Raja Casablanca keshapiga 5 bila majibu. Dk ya 75. Hawa wataburuza mkia kwenye hili griup
 
Aisee Simba tujipange kwelikweli
Al ahaly alitoka kumpigia mpira mwingi fc bayern club bingwa dunia na alikuwa hajapoteza mechi kwa mda mrefu

Alikuja vile vile akiwa wamoto lakini akapasuka.

Hao hata washinde 10 pale lupaso kifo Ni haki yao watake wasitake
 
Back
Top Bottom