Tuendelee kuwaombea wananchi๐!Daah! Game ngumu.
Tusubiri second half nayo tuone.
Hakika rafiki. ๐Tuendelee kuwaombea wananchi๐!
Yule ni fala tu.Kuna Mchambuzi Alisikika Akisema Gallants Ni Kama KMC au Ruvu Shooting Tuuโฆ
Tangu amerudi kitoka Berkane, hana kabisa ile spidi yake tuliyo izoea.Kisinda akauze mapapai tu.
Tulia dawa ikuingie taratibu
Yani ni vichekesho kwa kweliHii ituambie kuwa ligi yetu ni ya kawaida, ukiachana na siasa za kufarijiana. Hii team inapambania uhakika wa kubaki ligi kuu huko kwao ila ipo hapa kumsumbua anayejiita bingwa na team bora(wao wanavyojiita[emoji23]).
Wakati team ya SA iliyoko mkiani kwenye ligi ya kwao, hapa kwetu hata team inayoshika nafasi ya tatu(mfano Azam mara kadhaa) haiwezi kufanya yanayofanywa na Marumo, HAIWEZI HAIWEZI.
Team inayopambania kushuka daraja ka hapa kwetu inaweza kusumbua kwenye mashindano gani?
Nasubiria kuziona hizo saba tulizoahidiwa na mashabiki wa jangwani.
Hakuna cha bingwa mtarajiwa hapa, njia waliyopita ndiyo iliyowapa hayo matumaini, sasa hii ni team ya kuiziua team nzuri kuingia fainali? Ila kuonyesha ni jinsi gani wao ni weupe, itawatoa.Bingwa mtarajiwa anatolewa jasho na Timu inayopigania isishuke daraja
Da kweli hawa jamaa sijui wanataka nini? Wao wanajisifia tu. Utendaji 0๐๐ณ๐๐ฆ ๐๐ฏ ๐๐๐ฑ (๐ณ๐๐ 2)๐๐๐๐จ ๐ญ๐๐ญ๐ข๐ณ๐จ ๐ฅ๐ข๐ฅ๐๐ฅ๐ข๐ฅ๐ ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ ๐ณ๐ ๐๐ข๐ ๐ฆ๐๐ญ๐๐ก
๐๐ก๐ข๐ฌ ๐๐จ๐ง๐ญ๐๐ง๐ญ ๐ข๐ฌ ๐ซ๐๐ฌ๐ญ๐ซ๐ข๐๐ญ๐๐ ๐ข๐ง ๐ฒ๐จ๐ฎ๐ซ ๐๐ซ๐๐... ๐๐๐ ! [emoji35]
Unayo hiyo sura sasa? ๐๐๐
Tafuteni magoli converterNafasi nyingi zinapatikana ila kuzi-convert kuwa goli ndio mtihani ambao bado Yanga hawajafaulu
Yule aliefungwa na azam juzi?Marumo angekuwa kashakula mbili kipindi cha kwanza kama angekuwa anacheza na Simba
Acha kuuliza maswali ya kitotoKwanini wewe haumo
Kwani ligi ya SA na ya EGYPT ipi ligi bora?Hii ituambie kuwa ligi yetu ni ya kawaida, ukiachana na siasa za kufarijiana. Hii team inapambania uhakika wa kubaki ligi kuu huko kwao ila ipo hapa kumsumbua anayejiita bingwa na team bora(wao wanavyojiita[emoji23]).
Wakati team ya SA iliyoko mkiani kwenye ligi ya kwao, hapa kwetu hata team inayoshika nafasi ya tatu(mfano Azam mara kadhaa) haiwezi kufanya yanayofanywa na Marumo, HAIWEZI HAIWEZI.
Team inayopambania kushuka daraja ka hapa kwetu inaweza kusumbua kwenye mashindano gani?
Nasubiria kuziona hizo saba tulizoahidiwa na mashabiki wa jangwani.