Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Kipindi cha pili Yanga watabadilika hamtaamini hawa jamaa inawezekana kweli huwa kuna kitu wanfanya wakiingia vyumbani nimeafatilia mechi nyingi zao wanenda bila bila half time wakirudi wanabadilika sana sio bure hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
Tulieni mpigweAiseee! Jamaa ni wazuri.
Hapana.. sisi ndio wa hovyoAiseee! Jamaa ni wazuri.
Wazuri kama Simba?Aiseee! Jamaa ni wazuri.
Huu msemo una maana gani mbona unafanana na ule "Badamu bata mwagika" ?Bahlabane ba Ntwa..
Mnanifanya na mimi nisogee kibanda umiza
BAHLABANE BA NTWAUsimpangie kazi profesor Nabi
Hahahaa. LolTulieni mpigwe