FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Kipindi cha pili Yanga watabadilika hamtaamini hawa jamaa inawezekana kweli huwa kuna kitu wanfanya wakiingia vyumbani nimeafatilia mechi nyingi zao wanenda bila bila half time wakirudi wanabadilika sana sio bure hapa [emoji16][emoji16][emoji16]

Tunaona mabadiliko
 
Tumechezea nafasi kipindi cha kwanza, Marumo kwa sasa wanatushambulia mno
 
Mwalimu wa kutuliza pressure kwa hawa gallants yuko vizuri.
 
Back
Top Bottom