Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Rivers walifia kwaoAnajaribu kutafuta matokeo zaidi, goli moja sio kitu kwenye knockouts, hasa ukiwa unaanzia nyumbani.
Inanishanga kuona Yanga 1 lakini mashabiki wake wanatia huruma.Game ikoje kwa mnaotazama?
Aiseeeeesure boy should leave yanga . Amna mtu pale
Inanishanga kuona Yanga 1 lakini mashabiki wake wanatia huruma.