FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

nafasi imepotea au kipa yupo fiti

Hivi vijamaa vinacheza mpira kwa confidence ya ajabu sana
 
  • Thanks
Reactions: 511
dakika ya 87 mpira si uishe tu😂😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: 511
golini kwa Marumo sio kwa kuremba, bila maamuzi ya haraka watatupokonya sana mipira

Hahahahaha hawa jamaa wanapata wapi confidence ya kucheza mpira under pressure kwenye eneo lao lililozungukwa na wapinzani?
 
Back
Top Bottom