Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Yani hao ukikutana nao umevaa jezi hata ya man united ilimaradi nyekundu wanakuharibia sikuKwani Masaki uliko huwa kunachangamka hata siku moja? Njoo huku Mbagala uone mitaa ilivyojaa raha na matarumbeta 🤸🏿🤸🏿