inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mlicheza mechi mbili,timu mbili au moja ilijitoa kwa kukosa nauliIla basi sawa na sisi tulifika wkt huo yakiwa ktk ukubwa wake..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlicheza mechi mbili,timu mbili au moja ilijitoa kwa kukosa nauliIla basi sawa na sisi tulifika wkt huo yakiwa ktk ukubwa wake..
Huyu boss kubwa hanaga zile mambo za napata hasara. 🤣🤣🤣BOSS KUBWA😍🤗..anatabasamu tu hana shida
View attachment 2617043
Hoja ya kijinga na kutotaka kuelewa,UEFA champions league ni lile lile halikubadilishwa, arsenal alichukua UEFA cup mwaka 1994,lakini haihesabiwi na UEFA kuwa arsenal Wana europaReal Madrid ana UEFA ngap mkuu?
✔️✔️✔️✔️✔️Hoja ya kijinga na kutotaka kuelewa,UEFA champions league ni lile lile halikubadilishwa, arsenal alichukua UEFA cup mwaka 1994,lakini haihesabiwi na UEFA kuwa arsenal Wana europa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu boss kubwa hanaga zile mambo za napata hasara. 🤣🤣🤣
Yule wao akionaga kafikia hatua za kupata mkwanja basi ujue ataanza ooh! hii klabu naiendesha kwa hasara. 🤣🤣 yaani ili mradi tu. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani mie najitolea kukununulia ticket ya final tena vvip wewe na warembo wote wananchi hapa jf😅😅😅 Tunenepe tu jamani. 😅
Ewaaa! Japo kukumbusha tu game inachezwa Kwa Madiba. 🤣🤣Jamani mie najitolea kukununulia ticket ya final tena vvip wewe na warembo wote wananchi hapa jf
Wewe mie nazungumzia final yenyewe. Kwa maduba huko second leg wala usisafiri hao walishatolewa hawawezi pata goli tatu bila yanga kuoata goli.Ewaaa! Japo kukumbusha tu game inachezwa Kwa Madiba. 🤣🤣
Akikujibu nitag [emoji16]Wame shindwa kulipiga hadi wana shuka daraja
Bado watakwambia Hilo ni kombe la losersKwa sasa ni rasmi Yanga ndiyo timu kubwa zaidi Tanzania.
Uyahlanya ngempela uzofika eFnB, asiqondise, uzobona ubulima ngeviki elizayo.Huu ujumbe umewalenga wazulu sio waswahili.
Hata kama alifunga, anaondoka huyo...Nimesikia yupo kwenye orodha ya wachezaji ambao wanaenda kuachwa kwenye msimu unaoanza
Umesikia wapi?Nimesikia yupo kwenye orodha ya wachezaji ambao wanaenda kuachwa kwenye msimu unaoanza
SikioniUmesikia wapi?
Kesho mpo na Ruvu mmerudi kwenye level zenuSikioni
Ni katiba tu ya soka inataka timu 1 icheze na timu 15 kwenye ligi ndio unaona timu namba 9 kwa ubora inashurutishwa kuchangamana na vitimu kama Yanga, Ruvu nk.Kesho mpo na Ruvu mmerudi kwenye level zenu
Mbona umetaja timu namba tisa kwa ubora alafu tena unaitaja tena, Kwahiyo itacheza dhidi ya yeye mwenyewe? IFFHSNi katiba tu ya soka inataka timu 1 icheze na timu 15 kwenye ligi ndio unaona timu namba 9 kwa ubora inashurutishwa kuchangamana na vitimu kama Yanga, Ruvu nk.