FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Ewaaa! Japo kukumbusha tu game inachezwa Kwa Madiba. 🤣🤣
Wewe mie nazungumzia final yenyewe. Kwa maduba huko second leg wala usisafiri hao walishatolewa hawawezi pata goli tatu bila yanga kuoata goli.
Wee vvip ticket final yenyewe sii caf wanacheza final home and away. Sasa tukajaze taifa warembo mmeremete kwenye uzi wenu laki no sidiria ili mayele akitegema basi iwe bonge la burudani 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kesho mpo na Ruvu mmerudi kwenye level zenu
Ni katiba tu ya soka inataka timu 1 icheze na timu 15 kwenye ligi ndio unaona timu namba 9 kwa ubora inashurutishwa kuchangamana na vitimu kama Yanga, Ruvu nk.
 
Ni katiba tu ya soka inataka timu 1 icheze na timu 15 kwenye ligi ndio unaona timu namba 9 kwa ubora inashurutishwa kuchangamana na vitimu kama Yanga, Ruvu nk.
Mbona umetaja timu namba tisa kwa ubora alafu tena unaitaja tena, Kwahiyo itacheza dhidi ya yeye mwenyewe? IFFHS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…