FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Yanga hawana mchezo/mfumo wa kutafuta matokeo bali muda bahati ndivyo huwapatia matokeo na ndiyo sababu wameweza kufika hapa na ndicho kinawapeleka gainali na hatimaye kubeba ubingwa
 
Hujiulizi imefikaje nusu!! We mara ya mwisho kufika nusu unakumbuka au mpaka uvute gazeti?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kwahiyo tunakubaliama Marumo sio underdogs kama mlivyokuwa mkiwaita na kwamba hamna uwezo wa kuwapiga nyingi kama jinsi mlivyokuwa mnatueleza hapa?
 
Back
Top Bottom