Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 366
- 759
Kubali tu kwamba umepuyanga it costs you nothingDuh! Potezea hii hoja, haina mashiko. Najua unalijua hilo ila basi tu unaendeleza jadi yenu. Mnatumia aggregate mahali ambapo haina mashiko na katika utetezi wenu mnajifunga wenyewe lakini bado tu unakomaa.
Domokaya at workMpaka kufikia saa 7 usiku hawa mbuzi watakua nafasi ya pili, na kelele kwa kiasi chake zitapungua mitaani
Yeap ndio hivyo, na Yanga ya Sasa anauwezo wa kuzifunga timu zote hapo home and awaySo possibly Yanga atakutana timu hizi kwenye Robo fainali?
1. Pyramid ya Misri,
2. River Plate ya Nigeria au
3. USM Alger ya Algeria
Mazembe haipo ktk Ubora.
Hao ni wacheza Dance tu.. Wakina Akudo Impact wamejikusanya wakaanzisha kikosi
Baleke hakuwa na namba TP Mazembe ndio wakambwaga kwenu kwa mkopo.Hivi nyie mnawaona Mazembe kweli maana mimi siwaoni
Wamlete yeyote tu hapo anapigwa nje ndani.So possibly Yanga atakutana timu hizi kwenye Robo fainali?
1. Pyramid ya Misri,
2. River Plate ya Nigeria au
3. USM Alger ya Algeria
Baada ya mechi kukamilika, msimamo wa kundi ukoje?So possibly Yanga atakutana timu hizi kwenye Robo fainali?
1. Pyramid ya Misri,
2. River Plate ya Nigeria au
3. USM Alger ya Algeria
lakini pia kumbuka yanga ni bora sana msimu huuNawaona UTOPOLO wanafika mbali sana. Timu zilizopo CAFCC ni dhaifu sana
Umeamkaje mkuu...Mpaka kufikia saa 7 usiku hawa mbuzi watakua nafasi ya pili, na kelele kwa kiasi chake zitapungua mitaani
Mr akili mbiliBaleke hakuwa na namba TP Mazembe ndio wakambwaga kwenu kwa mkopo.
Nyinyi ni mbumbumbu haswa.