FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

So possibly Yanga atakutana timu hizi kwenye Robo fainali?

1. Pyramid ya Misri,
2. River Plate ya Nigeria au
3. USM Alger ya Algeria
 
Duh! Potezea hii hoja, haina mashiko. Najua unalijua hilo ila basi tu unaendeleza jadi yenu. Mnatumia aggregate mahali ambapo haina mashiko na katika utetezi wenu mnajifunga wenyewe lakini bado tu unakomaa.
Kubali tu kwamba umepuyanga it costs you nothing
 
Mpaka kufikia saa 7 usiku hawa mbuzi watakua nafasi ya pili, na kelele kwa kiasi chake zitapungua mitaani
Domokaya at work
1664363768269.jpg
 
Nawaona UTOPOLO wanafika mbali sana. Timu zilizopo CAFCC ni dhaifu sana
 
Back
Top Bottom