FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Utopolo akishinda leo nipigwe Ban ya angalau siku mbili
 
Jamani mimi nilikuwa nanjilinji kulima ufuta na yanga wakati natoka alikuwa klabu bingwa na kwa ninavyofahamu mechi za klabu bingwa zimeisha jana.

Sasa uto leo anacheza michuano gani na kule klabu bingwa baada ya kumtoa zalan ilikuwaje?
Alikuja kukalia kitu chenye ncha Kali akajamba cheche
 
Uwanja wenyewe wa Tp mazembe mbona kama upo kitaa tu
 
Acha niangalie mbungi ya Singida BS na mbeya city,, siwezi kupoteza muda wangu kuwaangalia losers kwenye kombe la mbuzi
 
Ni app gani inaonyesha live hoi game
 
Hii Yanga inanikumbusha chama langu, timu ya wabeba mizigo ya Tandale sokoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…