FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Yanga wanatandaza kabumbu safi hapa na wanapoteza nafasi mbili za kufunga
 
Yanga mbovu, ila wachambuzi hawawezi kulisema hilo
 
Yanga ajitahidi apate walau bao la kufutia machozi
 
Hatariii pale Mudathir anapiga shuti ila linaenda juuu!!!! Ilikuwa nafasi nzuri ya goli Kwa Wananchi
 


[emoji3516][emoji3516]
HUENDA UKAWA HAUMFAHAMU BONDIA HUYU [emoji91] AKIE ACHA REKODI KUBWA YA AJABU

Ipo YOUTUBE tayari

Gusa Link [emoji3516]Usisahau ku subscribe,Like na ku Comments

Unatafuta ban Kwa lazima?
 
Back
Top Bottom