FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Mazembe haipo ktk Ubora.
Hao ni wacheza Dance tu.. Wakina Akudo Impact wamejikusanya wakaanzisha kikosi
 
Ana maanisha,kupigwa nje,ndani sio mchezo,sio tu akina Tp kunguru wa Lubumbashi,ila hata waarabu anuai,iwapo hata akina Raja mnao waogopawatajichanganya/jileta kwa wananchi watakaa mapeeema Asubuhi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hayaa !
 
Mpaka kufikia saa 7 usiku hawa mbuzi watakua nafasi ya pili, na kelele kwa kiasi chake zitapungua mitaani
 
Mpaka kufikia saa 7 usiku hawa mbuzi watakua nafasi ya pili, na kelele kwa kiasi chake zitapungua mitaani
Hizo habari za kuongoza kundi wamezikaushia wanadhani hatuwaoni vile 🤣😂🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila wiki hii wameteseka sana. Juzi wamekesha wakiangalia mechi ya kirafiki ya Simba, leo tena pamoja na kwamba wameshavuka watakesha tena wakiwaombea mabaya Monastir pamoja na kwamba wale Waarabu waliwaweba kwenye game 2. Hawana hata shukrani.
 
Mkuu Yanga kabebwaje na Monastir? Hebu fafanua kidogo maana kama hujaeleweka vile
 
Back
Top Bottom