FT: CAF Confederation Cup: Us Monastir 2- 1 As Real Bamako

FT: CAF Confederation Cup: Us Monastir 2- 1 As Real Bamako

Hawa Bamako wanacheza kwa utulivu mkubwa, wameikamata game japo wapo away
 
Dak hizi za mwishoni hawa Monastir wamecharuka kweli, sema bahati tu haipo upande wao
 
9+6, Monastir 2-1 Bamako.

Refa vipi Tena mbona kama anawatafutia goli hawa waarabu?
 
Back
Top Bottom