Mkuu nipo uarabuni, ni local channel ya huku nilipoChannel gan unaangalia mkuu
TawileKila la kheri Bamako, droo inawatosha, au hata mkipogwa 2-1 sio mbaya
River plateSo possibly Yanga atakutana timu hizi kwenye Robo fainali?
1. Pyramid ya Misri,
2. River Plate ya Nigeria au
3. USM Alger ya Algeria