FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

USM wanapata freekick dakika ya 11

Imepigwa cross mshambuliaji anapiga mpira kichwa lakini kila anakaa vizuri
 
Al ahly kwa mpira huu watatusamehe tu
 
Mchezaji wa USM Algier anaangushwa kwenye box lakini mwamuzi anasema ni physically contact
 
Mpira umesimama kwa muda kupisha matibabu kwa mchezaji aliyefanyiwa faulo kwenye eneo la box

Ambapo kwa mujibu wa refaree haikuwa faulo
 
Mchezo unaendelea
 
Al Ahly wanafanya shamhulizi hapa ila kipa naokoa mpira
 
Mechi hii inachezwa kwenye uwanja wa King Fahd International Stadium uliopo Saud Arabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…