FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

Huyu winga wa Al Ahly wa kushoto mwenye minywele kama Mo Salah anakiwasha
 
Daaah! nafasi
hii tuliikosa USM wapumbavu na wapigwe tu
 
Karhaba anapokea kadi ya njano kwa kumchezea faulo mchezaji wa USM Algier
 
Al Ahly wanaleta uulaya kwenye soka la kiafrika

Wnafika hafi kwenye box lakini kwenye kufunga wanataka wawachambue mabeki wote
 
Waarabu kwa waarabu ni kama ma last born wamekutana kila mtu anataka kumhadaa refa
 
Al Ahly wanabebwa

Sehemu za faulo refa anapotezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…