Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Hata sijaelewa kwa Nini wanaleta haya mmoshii?Haya mamoshi kumbe ni watu na sio ukungu kama nilivyofikiri
USMA bingwaGame ikiisha hivi itakuwaje?
wamekufa kiumeGame ikiisha hivi itakuwaje?
Jamani shindeni kombe basi tuburudike na mishangazi
Mpaka sasa mko nyuma kwa goal moja leo hamna chenu kabsa
Ngoma Bado nzito hii...
Wanatekeleza ilani ya chama
Rekebisha takwimu zako. Maana haziendani na uhalisia ulioko uwanjani.
Mwarabu anafungwa hii game chiefGame ikiisha hivi itakuwaje?
Wamezoea figisu tu...Duuuuh hawa mashabiki wapuuzi Sana
Nyie mlichoma mavumba uwanjan mlitaka muachweNikikumbuka Simba iliwahi kuwasha kamoshi kadigo ikaitwa ushirikina
Leo USM ALGER wanawasha moshi ambao unafanya hata mpira tusione lakini wanaita ushabiki
surelyNa ikifika dk ya 60/70 hali ikiwa hivi inawezekana presha ikazidi.