FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Mpuuzi sana huyu utafikiri likichukua kombe linaenda nchini kwake kumbe ni nchi za wengine.

Sisi wenye nchi tumetulia tunataka USM ALGER washinde lenyewe kimbelembele tu kudakadaka hovyo.

Jinga sana lile
Watoto wa kambo hua hamna jema
 
Mpuuzi sana huyu utafikiri likichukua kombe linaenda nchini kwake kumbe ni nchi za wengine.

Sisi wenye nchi tumetulia tunataka USM ALGER washinde lenyewe kimbelembele tu kudakadaka hovyo.

Jinga sana lile
Utakufa kabla ya siku zako
 
Mwalim kazingua sana hakuna haja ya kuzuia leo kwa sababu hakuna cha kupoteza
Umeona mpango wa mwalimu ulivyofanya kazi... umempunguzia kazi mudathir na sureboy... na waneweza kurudi kwa haraka... kitu ambacho pia warabu leo watapata tabu ni kucheza na mayele wakijua ni mtu hatari... lakini leo mayele hana cha kupoteza zaidi ya kutenga mpira wenzake wascore yeye kashamaliza mahesabu yake... amebakia kuisaidia timu itoke na ushindi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…