Nyuma MWIKO daima MbeleMko nyuma ya mda
Kabisa mkuuDah! Hawa mbuzi wangeongezwa goli la pili, haki ya nani wananchi wangerudi na kombe kimasihara kabisa.
Beki wa boli huyo na ni miongoni mwa wachezaji waliolelewa vizuri na kocha Juma Mgunda. Respect kwakeMwanyeto kapokea njano
Goli la Pili litaamsha hadi wafuIla hawa watu wana kelele nilizama kabisa ndotoni wameniamsha
Anafunga muda si mrefu.Acha hizi mambo kaa tulia uangalie mayele kafunga la pili
Umeshapaniki tayari.Hii fainali ganiiii
Yanga msipolazimisha Goli , habari yenu itaishia hapaKuna goli la Pili hapo
Apo ndo vzuri goli la pili linaingia 85-90 watataftana mbonawaarabu wazee wa figisu ikibak hv kuanzia dk ya 80-85 watajiangusha hao