FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Waarabu wananyanyaswa mbele ya viongozi wao.
 
mpira wa kizaman anakwenda anakwenda huyu muarabu kweli
 
[emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]yangaaaaaaaaaa

Goooooooooaaaaaaaaaallllll


Chumaaaaaaaaaaaaaaaaa


Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

[emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]
 
Kila wazee wa Tanga tukishusha kamvua, Waarabu wanaamka kutoka usingizini. Embu ngojeni kidogooo....
 
Yanga wajilaumu wenyewe. Kuruhusu goals 2 nyumbani. Ndio linalowagharimu. Yanga hawawezi kupata goli la pili.

Tofauti na ile penalt waliopata goal yanga hawana ujanja wakupata goli la move. Wasubiri set piece
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…