Kwahiyo unahisi ngoma ikitoka hivi mtaenda matuta?Fainali Haina magoli ya ugenini wewe
Wana nafasi bado, ukiwaangalia waarabu wana presha na wesharudi nyumaYanga mtajutia mechi ya kwa mkapa. Kama ilivokuwa kwa Simba dhidi ya Wydad.
👏🏼👏🏼Yanga wajilaumu wenyewe. Kuruhusu goals 2 nyumbani. Ndio linalowagharimu. Yanga hawawezi kupata goli la pili.
Tofauti na ile penalt waliopata goal yanga hawana ujanja wakupata goli la move. Wasubiri set piece
Unagundua leo?Hii sheria ya goli la ugenini imekaa kiwaki sana!! Haipo sawa
Hamna USM ana faida ya kushinda goli nyingi ugenininami nataka kujua wakibaki hivi hadi mwisho, watakua na matuta?
Mwaka huu hatuchekani. Uto wajilaumu wenyewe kuzingua nyumbani kama sisi Simba tunavyojilaumu game ya Wydad nyumbani.Yanga mtajuta kufungwa mbili mechi ya nyumbani.
Nipo Algeria nmeona yanga kafunga bao la pili dakika ya 87Unaeekwa na wanga?
Yanga ndo basi tena. Alipigwa 2 nyumbani.Hivi Ikibaki hivi 2-2 si Matuta Au???
Hamna ishaisha hii ngoma... law of attraction itawabeba waarabuWana nafasi bado, ukiwaangalia waarabu wana presha na wesharudi nyuma
Utakuwa ndotoni unaota unamkatikia kibu denga mbwa weweNipo Algeria nmeona yanga kafunga bao la pili dakika ya 87
Unakatwa na Aucho sawa?