Na sie tumewapiga doko home kwao
Duh na wewe utopolo?Aiseeee tumekoswa koswaaa
USM watabeba ikibaki hiviHivi Ikibaki hivi 2-2 si Matuta Au???
Mshashindwa acha keleleWashenzi wanahujumu kwa moshi
Ana goli la ugenini mojaKumbuka Pia Yanga leo kapata goli la Ugenini nae
😂Namsikia mtangazaji wa Aljeria anataka kulia
Anasema zimebaki dkk 5 tu
Wao kulinda kunawalipaWana nafasi bado, ukiwaangalia waarabu wana presha na wesharudi nyuma
Nani kakudanganya??Haina shida kaka
Mpaka sasa aggregate ni 2-2 Kwahiyo Matuta yannanukia
Kila la heri katika zoezi la ufufuo na uzimaGoli la Pili litaamsha hadi wafu