FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Naona waarabu wameona watumie janja ya nyani kwenye hizi dakika za mwisho kwa kuchoma mafataki na kujiangusha angusha hovyo!

Halafu utashangaa hata adhabu hawapewi!!
Huku Tz tunazuiwa na jeshi la polisi, nchi ya kipumbavu sana hii. Huwa tunakuwa kama mang'ombe[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196]
 
Yes ni jambo zuri sana utopolo kuto kunyenyua makwapa safi sana warabu
 
Refa maliza mpira dakika za nyongeza zimeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…