FT: CAFCC: Future FC 4-1 Singida Big Stars FC, Agg: 4-2. Singida ayaaga mashindano

FT: CAFCC: Future FC 4-1 Singida Big Stars FC, Agg: 4-2. Singida ayaaga mashindano

Mchezaji wa future anakula umeme hapa
 
Game on future wakiwa pungufu
 
Future 2 Singida 1.
Waarabu wana figisu za kindezi sana hawa Singida wasipokaza wanasepa.
 
Singida wakaze waarabu wapo pungufu
 
Dk 60 " future wakiwa mbele kwa magoli 2-1
 
Beno ana lake jambo kwenye hii game
 
Back
Top Bottom