Singida wakaze hapohapo.Jamaa ka-dive kabisa refa kafunika
Red card ya kisenge sana
Mae, ni nini kinaendelea huko?Mchezaji wa future anakula umeme hapa
Baada ya kupiga goal, mchezaji mmoja akaenda golini anachukua mpira aulete kati, akampiga kiwiko kwa maksudi mchezaji wa SBS.Kimetokea nini
Kamlima kadi adi benchi la ufundiRefa wa hii game hacheki na kima anamwaga kadi tu
Washapewa red cards mbili hao Future na bado Singida wanapelekewa moto.Future 2 Singida 1.
Waarabu wana figisu za kindezi sana hawa Singida wasipokaza wanasepa.