Wameboa sana hawaDk 80" ubao bado 3-1
Huu ndo uhalisia ... uwezo wa kuwakabili hawa hawana.Singida wamepoteana ile rythm walomaliza nayo first half haipo
Walianza vizuri.Uwezo hawana. Yani hawa hata wakipewa reds tatu hawatoboi.
4-2Singida wako vizuri..naombeni aggregate ngapi mpk sasa
Bruno one of the most overrated player,, anajigonga gonga mno akiwa na mali mguuni
Tena...?😂
Hamna ktuuuuuUnapigwa mwingi mno hapa tusingeweza kuwaacha hivi hivi
Naye ni mchezajiHapo na kipa
On AggregateTena...?😂
Yeah!! 10 nyongezaNi 3-2 mkuu
3-1