uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
3-2 On Aggregate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3-2 On Aggregate
Kaseke ana kosa nafasi ya dhahabu hapa
Daaah, aisee namna gani pale...Kaseke ana kosa nafasi ya dhahabu hapa
Wale jamaa wamesababisha mpaka wapinzani wao kujifunga, kutokana na hii style yao ya pira papatu papatu!! 😃😃Bora ya SBS kuliko wale wanaocheza mpira wa papatupapatu
Wale jamaa wamesababisha mpaka wapinzani wao kujifunga, kutokana na hii style yao ya pira papatu papatu!! [emoji2][emoji2]
Yaani ni kubutua butua tu na kukanyagana!!
Kwani wakati anacheza msimu uliopita hukumuona.mbona ni mchezaji mzuri.Mpira hauwezi kukuendea sawa siku zote.Ata wewe kuna muda haufanyi kazi zako sawa na siku zingine.Kwenye mpira kina changamoto nyingi.tuheshimu mpira wake.Bruno one of the most overrated player,, anajigonga gonga mno akiwa na mali mguuni