FT: CAFCC: Future FC 4-1 Singida Big Stars FC, Agg: 4-2. Singida ayaaga mashindano

Bora ya SBS kuliko wale wanaocheza mpira wa papatupapatu
Wale jamaa wamesababisha mpaka wapinzani wao kujifunga, kutokana na hii style yao ya pira papatu papatu!! 😃😃

Yaani ni kubutua butua tu na kukanyagana!!
 
Haya rudisheni makalio
 
Bruno one of the most overrated player,, anajigonga gonga mno akiwa na mali mguuni
Kwani wakati anacheza msimu uliopita hukumuona.mbona ni mchezaji mzuri.Mpira hauwezi kukuendea sawa siku zote.Ata wewe kuna muda haufanyi kazi zako sawa na siku zingine.Kwenye mpira kina changamoto nyingi.tuheshimu mpira wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…