Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Usitumie nguvu kubishana na huyo jamaa anakaa kwa shemeji yake yupo kwenye kochi anapigwa na upepo wa feni ya shemeji yake yeye anaona Raha fuli burudaniNifuatilie vizuri mimi ni shabiki wa Simba Sc ila sijawa mjinga wakusifia chochote wanachofanya wachezaji bila kujali wanafanya nini.
Simba Sc imecheza hovyo kipindi cha kwanza.
Kwahiyo wewe umeridhika na kiwango cha Wachezaji na aina ya mchezo wanaocheza.?Wewe kama siyo chura basi umebet na nakuhakikishia wachezaji hawawezi kuvunjika miguu kisa buku lako ulilotandika kwa Muhindi
Labda unaangalia mechi ya marudio vs Bravo, leo Simba wametengebeza nafasi 3 za wazi kabisa, ya Ateba, Ahoua na Ngoma halafu wanashambulia vizuri kasoro umakini kidogo tu unatakiwaSimba Sc tuna team ya hovyo sana, imeshuka sana viwango.
Katika game hii unaona kabisa eti Simba Sc nao wameridhika na kuishia kupiga pasi za nyuma tu.
Halafu dada yake yupo na msela chumbani?Usitumie nguvu kubishana na huyo jamaa anakaa kwa shemeji yake yupo kwenye kochi anapigwa na upepo wa feni ya shemeji yake yeye anaona Raha fuli burudani
DaaahππUsitumie nguvu kubishana na huyo jamaa anakaa kwa shemeji yake yupo kwenye kochi anapigwa na upepo wa feni ya shemeji yake yeye anaona Raha fuli burudani
Sawa, ngoja nikubaliane na wewe kuwa Simba Sc imepiga mpira mwingi sana first half, wakirudi kipindi cha pili na huo moto waliouonyesha wanaweza kupata ushindi mnono.Labda unaangalia mechi ya marudio vs Bravo, leo Simba wametengebeza nafasi 3 za wazi kabisa, ya Ateba, Ahoua na Ngoma halafu wanashambulia vizuri kasoro umakini kidogo tu unatakiwa
Unataka nikuchome wapi.?Wewe sio Mchome kweli.?
Exactly π― mkuu πππHalafu dada yake yupo na msela chumbani?
Jamaa anafosi kupiga mashuti ya mbali kila sehemuBasi timu itoke Ahoua acheze pekeyake
Sababu csc wapo nyuma wote, hakuna njia. Anahitaji accuracy tu.Jamaa anafosi kupiga mashuti ya mbali kila sehemu
Mkuu; kumbe nawe ni mkorofi eeh!? πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈUnataka nikuchome wapi.?