FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

Nifuatilie vizuri mimi ni shabiki wa Simba Sc ila sijawa mjinga wakusifia chochote wanachofanya wachezaji bila kujali wanafanya nini.

Simba Sc imecheza hovyo kipindi cha kwanza.
Usitumie nguvu kubishana na huyo jamaa anakaa kwa shemeji yake yupo kwenye kochi anapigwa na upepo wa feni ya shemeji yake yeye anaona Raha fuli burudani
 
Wewe kama siyo chura basi umebet na nakuhakikishia wachezaji hawawezi kuvunjika miguu kisa buku lako ulilotandika kwa Muhindi
Kwahiyo wewe umeridhika na kiwango cha Wachezaji na aina ya mchezo wanaocheza.?
 
Simba Sc tuna team ya hovyo sana, imeshuka sana viwango.

Katika game hii unaona kabisa eti Simba Sc nao wameridhika na kuishia kupiga pasi za nyuma tu.
Labda unaangalia mechi ya marudio vs Bravo, leo Simba wametengebeza nafasi 3 za wazi kabisa, ya Ateba, Ahoua na Ngoma halafu wanashambulia vizuri kasoro umakini kidogo tu unatakiwa
 
Labda unaangalia mechi ya marudio vs Bravo, leo Simba wametengebeza nafasi 3 za wazi kabisa, ya Ateba, Ahoua na Ngoma halafu wanashambulia vizuri kasoro umakini kidogo tu unatakiwa
Sawa, ngoja nikubaliane na wewe kuwa Simba Sc imepiga mpira mwingi sana first half, wakirudi kipindi cha pili na huo moto waliouonyesha wanaweza kupata ushindi mnono.
 
1737295980512.png
 
Back
Top Bottom