FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

Hii timu kama ahoua atakomaa kiakili, kisha hawa watu wa mbele wakatuliza akili na kucheza kitimu, huenda ikawa na matokeo ya kufurahisha,

Tunakosa sana nafasi za wazi, wachezaji wetu hawana utulivu kabisa kocha alifanyie kazi hili.
Accuracy hatuna. Tunabutua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…