BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
No one can stop this rastaman 😂😂😂 -Mickyjr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo nimeridhika na tunaongoza mpaka sasaKwahiyo wewe umeridhika na kiwango cha Wachezaji na aina ya mchezo wanaocheza.?
Lile Genge Lililocheza Jana Mpaka CCM Wakamaliza Kikao HarakaSisi ni wale wakali wa hizi kazi...
Simba mmnyamaaaa
Hatushindwi tukilitaka letu....
Kila la heri my Team..
wanajiandaa kumchapa tena 5Gusa achia wanafyonza tu na kutema mate
kisa shirikishoLile Genge Lililocheza Jana Mpaka CCM Wakamaliza Kikao Haraka
Muda Huu Wamenuna Sana Mashavu Yamejaa Upepo Hasira
Wanatamani siku zirudi nyuma, lkn ndiyo haiwezekaniGusa achia wanafyonza tu na kutema mate
Accuracy hatuna. Tunabutua.Hii timu kama ahoua atakomaa kiakili, kisha hawa watu wa mbele wakatuliza akili na kucheza kitimu, huenda ikawa na matokeo ya kufurahisha,
Tunakosa sana nafasi za wazi, wachezaji wetu hawana utulivu kabisa kocha alifanyie kazi hili.
Uzi huu sio maalumu kwa wakunja ngumiwanajiandaa kumchapa tena 5
Ila ukisema unaonekana sio Shabiki kwa Simba Sc, team inacheza ujinga sana hapo mbele. Tunaelekea kwenye game za mtoano, tusipobadilika hatitavuna chochote.Nahisi simba kuna hali ya kutokuwa na utulivu mbele ya goli
No one can stop this rastaman 😂😂😂 -Mickyjr
Ni kweli, ila kuna mambo mengine yanabaki kwa mchezaji mwenyewe, maana kocha anakuwa ametimiza mambo yake mengi tayariTunakosa sana nafasi za wazi, wachezaji wetu hawana utulivu kabisa kocha alifanyie kazi hili.