FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

Mwanangu hii simba imezidi utamu unaweza kupata kisukari usipo kuwa makini.
Usiwadanganye wenzako. Simba hawana timu, huwa wanapita kimazabe sana. Juzi mlikuwa mkisema wenyewe timu mbovu, leo yamekuwa haya baada ya kushinda?
Mimi hata ningekuwa siko Yanga, siipendi acheni kuna wachezaji. Hapa Aucho kule Mzize Babeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…